BOFYA HAPA KUONA WALIOAJIRIWA AGOSTI, 2020 Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika imewaita waajiriwa wapya waliofanya usaili Agosti, 2020. Watumishi hao wanatakiwa kuripoti kazini kuanzia Septemba 1, 2020 hadi Septemba 8, 2020.
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.