Sunday 7th, March 2021
@
Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Tanganyika imeanza rasmi kugawa vitambulisho vya wajasiliamali. Zoezi hilo limeanzia katika kata za Ikola na Isengule. Baadaye zoezi litaendelea katika kata zote za Halmashauri ya wilaya ya Mpanda (Tanganyika).
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.