Ili kupata vitambulisho vya Taifa ni vema kujiandaa na nyaraka zifuatazo
1. Cheti cha kuzaliwa au
2. Cheti cha elimu ya msingi au
3. Cheti cha kidato cha nne au sita au
4. Leseni ya udereva au
5. Hati ya kusafiria au
6. Kitambulisho cha mpiga kura au
7. Kadi ya mpiga kura au
8. Kadi ya mfuko wa jamii au
9. Vyote kwa pamoja
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.