Halmashauri ya wilaya ya Mpanda imetenga hekta 11,000 kwa ajili ya kilimo uwekezaji. Eneo hilo linafaa kwa kilimo cha pamba, korosho, mahindi, mihogo, mpunga na alzeti.
Anayehitaji kukodi shamba kwa muda mfupi au mrefu, afike ofisini kwa Mkurugenzi Mtendaji
Kila mmoja anaweza kupewa shamba la kulima kwa makubaliano ya ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji.
Eneo lipo wazi na halina mgogoro wa ardhi
Tunakaribisha vikundi vya wakulima au mtu mmoja mmoja
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.