Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda ina vyanzo vingi vya maji kama vile Chemichem visima na mito .Kiuhalisia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Mpanda bado haujaweza kuwafikia wananchi wote katika vijiji vilivyopo.
Huduma ya maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda inatolewa kwa watu wote ambao ni sawa na asilimia ya wakazi wote Hivyo Idara inaendelea na jitihada zaidi za kutafuta rasilimali zitakazowezasha ujenzi wa miradi ya maji kutekelezwa hivyo kuboresha hali ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi.
Miradi hii inaweza tekelezwa kwa awamu kutegemea uwezo halisi na upatikanaji wa fedha. Kwa maelezo bonyeza hapa kupakua faili kupata maelezo ya kina.
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.