Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2019 Bw. Mzee Ali amelidhishwa na kiwango cha barabara ya Bulamata katika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda wilayani Tanganyika. Mwenge wa Uhuru ulipitia miradi 13 wilayani Tanganyika na yote kuonekana ni bora zaidi.
Barabara hiyo iliyopitiwa na mbio za Mwenge 2019 ni moja ya ahadi ya Mhe. Rais aliyowaahidi wananchi wa Mishamo 2015 wakati wa kampeni. Barabara hiyo inaanzia kona ya Bulamata hadi ziwa Tanganyika.
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.