-Halmashauri ya wilaya ya Mpanda imetenga eneo la hekta 11,000 kwa ajili ya malisho ya mifugo.
-Tunawakaribisha wafugaji wakiwa kwenye vikundi au mtu mmoja mmoja.
-Eneo ni zuri kwa mifugo na hakuna shida / tatizo la maji
Mpandadc
Sanduku la barua: 1 Mpanda
Telephone: 025-2820068
Simu ya mkononi: 0784428273
Barua pepe: ded@mpandadc.go.tz
Copyright ©2018 mpanda dc . All rights reserved.