TANGANYIKA KUKUSANYA 5.7 BIL KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022
Baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika limepitisha bajeti ya makisio ya makusanyo ya mapato ya ndani ya Shilingi 5,712,006,000 sawa na ongezeko la asilimia 44 ya mwaka 2020/2021 ya mapato ya ndani.
Bajeti hiyo imepitishwa Januari 29, 2021. Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika, Mhe. Hamadi Mapengo ameshauri watumishi na madiwani kushirikiana pamoja kukusanya mapato ya ndani.
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.