Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Omary Sukari (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha cha pamoja na wadau wa habari mkoani Katavi. Wadau hao wamejengewa uwezo wa kuhamasisha chanjo ya kukinga saratani ya shingo la mlango wa kizazi kwa mabinti wa miaka 14. Warsha hiyo imefanyika Aprili 17, 2018 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mpanda.
TONGWE - MAJALILA
Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA
Telephone: +255-252955264
Simu ya mkononi: 0754870344
Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz
Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.