Posted on: December 17th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amewataka wavuvi wanaovua Samaki ziwa Tanganyika kuacha tabia ya kufanya uvuvi haramu badala yake watumie zana sahihi za uvuvi kwa ajili ya uvuvi endelevu.
...
Posted on: November 16th, 2022
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kutoka Mkoani Tabora wamefurahishwa kwa namna ambavyo Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wamenufaika kupitia Mradi wa...
Posted on: October 26th, 2022
Madiwani Wilayani Tanganyika wametakiwa kuwa mabalozi wa kwanza kuhamasisha Kilimo cha zao la Pamba kwa vitendo Mkoani humo ili kuleta hamasa kwa Wananchi kulima zao hilo na hivyo kuondokana na ...