Posted on: July 13th, 2019
Kahawa inayolimwa katika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda imepata soko la wanunuzi kutoka nchi za Ulaya. Hayo yamebainishwa na Aldofu Andrew mwishoni mwa mwezi Juni, 2019 wakati wa mkutano wa wadau wa ...
Posted on: July 13th, 2019
Halmashauri ya wilaya ya Mpanda ina maeneo yanayofaa kwa uwekezaji wa kilimo cha migomba, miti, kahawa na maharagwe. Maeneo hayo yanapatikana katika kata ya Mwese.
Hata hivyo Mwese ina vivutio ving...
Posted on: July 12th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Katavi Comrade Juma Zuberi Homera amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda Bw. Romuli Rojas John kwa kukusanya shilingi 2,387,392,044.49 sawa na asilimia 75.1...