Posted on: January 14th, 2019
Mkurugenzi mtendji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda Bw. Romuli Rojas John anapambana kwa kuhakikisha vyumba 12 vinakamilika mapema. Vyumba hivyo vitapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza waliokosa na...
Posted on: December 11th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Mhando amekabidhi matrekta 2 kwa wakulima wa Tanganyika. Matrekta hayo aina ya John Dia yametolewa na kampuni ya PASS inayojishughulisha kwa kutoa mikopo kwa w...
Posted on: December 8th, 2018
MWAMTUKA kuinua elimu Tanganyika
Walimu wakuu, wakuu wa shule na maafisa elimu kata wa Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika wamepewa mafunzo ya uwezeshaji wa uboreshaji wa matumizi ya mfumo wa wazi ...