Posted on: June 8th, 2018
Fundi ujenzi wa zahanati ya Kusi akiandaa ugali wakati wa mapumziko. Mafundi hao wameweka kambi kwa ajili ya kukamilisha jengo la zahanati kwa wakati....
Posted on: June 8th, 2018
Wananchi wa kijiji cha Kusi kilichopo kata ya Bulamata wanahitaji lori ya kubebea mawe ya ujenzi wa zahanati ya kijiji. Hayo yamesemwa mbele ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda mhe. Hamad...
Posted on: June 6th, 2018
Wananchi wa kijiji cha Kapanga wamepongeza utendaji kazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda, Bw. Romuli Rojas John. Pongezi hizo zimetolewa kwenye mkutano wa hadhara Juni 6, 201...