Posted on: June 5th, 2018
Wananchi wa kijiji cha Lugonesi wamefurahishwa na taarifa ya Halmashauri ya wilaya ya Mpanda ya kumilikishwa msitu wa Tongwe Magharibi. Hayo yalisemwa kwenye mkutano wa hadhara wa kijiji Juni 5, 2018....
Posted on: May 30th, 2018
Wahudumu afya jamii wafundwa.
Jumla ya watu saba ambao ni viongozi na wakufunzi wa watu watu 45 wa kutoa huduma ya afya ya jamii katika halmashauri za wilaya za Mpanda na Nsimbo wamejengewa uwezo w...
Posted on: May 19th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda, Romuli Rojas John ( wa kwanza kutoka kushoto) amekabidhiwa funguo za magari mawili kutoka kwa Mbunge wa Mpanda vijijini mhe. Moshi Kakoso. Magar...