Posted on: August 25th, 2017
Karema.Baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda limepongeza walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Karema kwa kupata matokeo mazuri ya mtihani wa kidato cha sita 2017. Wanafunzi hao...
Posted on: August 1st, 2017
Kasekese. Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Bw. Salehe Mhando amewaagiza wananchi wote waliopo vijiji vyote vya Halmashauri ya wilaya ya Mpanda kujiunga na mfuko wa bima ya Afya ya Jamii (CHF). Mhando amey...
Posted on: August 8th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda yaibuka kidedea kwenye kilele cha maonesho ya NaneNane jijini Mbeya yaliofanyika kikanda kwa mikoa ya nyanda za juu kusini....