Posted on: April 8th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Mh. Onesmo Buswelu ametoa muda wa siku 3 kwa Tarura wilayani humo kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa kivuko katika mto Mwali ili wananchi waweze kupita bila...
Posted on: April 6th, 2024
Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi leo imewapokea madaktari bingwa kutoka nchini Marekani wanaokuja wilayani humo kwa ajili ya kutoa huduma za upasuaji wa magonjwa mbalimbali BURE kabis...
Posted on: April 4th, 2024
Madiwani wa Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi wamekubali mpango wa Serikali wa kupumzisha uvuvi katika ziwa Tanganyika kwa muda wa kipindi cha miezi mitatu.
Hayo yamejiri katika kikao maa...