• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe ya ofisi |
Tanganyika District Council
Tanganyika District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanganyika District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasissi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu, ufuatiliaji na Uchumi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Kitengo
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Madini
    • Miradi ya Elimu
    • Usafirishaji
    • Ufugaji Nyuki
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Leseni za Biashara
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Matumizi Bora ya Ardhi
    • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kitaifa
    • Video za Shughuli za Halmashauri
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Gazeti la Mpanda Leo
    • Makala Mbalimbali

TEHAMA na Mahusiano

TEHAMA

KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO(TEHAMA)

Kitengo Cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kina jukumu la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya Teknolojia ya habari na mawasiliano kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda.

Majukumu ya Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

  1. Kutayarisha Mpango Mkakati wa kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Miongozo na taratibu kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya TEHAMA.
  2. Kuishauri Menejimenti ya Halmashauri juu ya masuala yanayohusiana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wa dhana ya serikali mtandao.
  3. Kusimamia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na utekelezaji wake kwa ajili ya Halmashauri ya Wilaya.
  4. Kushirikiana na OWM-TAMISEMI kuratibu na kuendeleza viwango vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa ajili ya “software na hardware” kwa matumizi ya Halmashauri na Mamlaka ya Mji mdogo.
  5. Kuiwezesha Mamlaka ya Mji Mdogo, Kata na vijiji katika kuendeleza na kutekeleza mipango/miradi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
  6. Kuratibu utekelezaji,usanifu,utunzaji na uendelezaji wa matumizi ya Tovuti na utunzaji wa kumbukumbu kwa ajili ya Halmashauri ya Wilaya, Wizarai na wadau wengine.
  7. Kutathimini, kuboresha na kusimamia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na usimamizi wa mifumo ya taarifa/habari iliyosimikwa/iliyowekwa kwenye Halmashauri.
  8. Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na teknolojia ya habari na mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo kwa watumishi wa Kitengo cha TEHAMA na watumiaji wengine wa mifumo.
  9. Kufanya tathimini ya hatari/hasara zinazohusiana na miundombinu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na mfumo wa usimamizi wa taarifa na namna ya kuthibiti.
  10. Kuendeleza na kutunza Tovuti ya Halmashauri.
  11. Kuratibu masuala yakiitifaki ikiwemo kupokea wageni.
  12. Usimamizi wa mifumo ya kompyuta(SystemAdministration)
  13. Usimamizi wa mtandao wa kompyuta pamoja na vifaa vyake (Network And HardwareAdminstration).
  14. Usimamizi wa benki ya takwimu(DatabaseAdministration)
  15. Usimamizi wa tovuti na barua pepe (websiteadministration & emails).
  16. Kutekeleza na kusimamia sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao.
  17. Kuandaa mahitaji katika Ununuziwa vifaa vya TEHAMA.

Matangazo

  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA DEREVA II, KATIBU MAHSUSI III NA WATENDAJI WA KIJIJI III July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA July 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGANYIKA YAWEKA MIKAKATI KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO

    February 01, 2023
  • DC JAMILA AHIMIZA UPANDAJI NA UTANZAJI WA MITI

    January 24, 2023
  • Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Tanganyika yawataka watumishi kusimamia Ilani

    January 23, 2023
  • Kamati ya Siasa CCM Wilaya ya Tanganyika yawataka watumishi kusimamia Ilani

    January 23, 2023
  • Tazama zote

video

DC wa Tanganyika asisitiza michezo katika kata ya Bulamata
Video nyingine

Mawasiliano ya Haraka

  • Taarifa kwa Umma
  • Orodha ya Madiwani
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA TANGANYIKA
  • Gazeti la Mpanda Leo
  • Habari Mpya
  • Mwanzo
  • Matukio
  • Matangazo

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikuli
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi Tanzania
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Tovuti kuu ya Serikali

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free visitor counters

Dira ya Ramani

Wasiliana Nasi

    TONGWE - MAJALILA

    Sanduku la barua: S.L.P 01 KATAVI - TANGANYIKA

    Telephone: +255-252955264

    Simu ya mkononi: 0754870344

    Barua pepe: ded@tanganyikadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Test

Copyright ©2018 Tanganyika-DC . All rights reserved.